Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
gentleman usipojadili siasa utakua mbea tu mtaani,Unajua sipendi sana kujadili mambo yako ya siasa ila hapa unanipa mashaka kiasi. Waziri analalamika hajatendewa sawa na huu muswada ( anatoa milio). Wewe unasema hakuna athari za muswada huu. Sasa sijui kati yako na waziri yupi hajasoma na kuelewa maudhui ya muswada.
halafu,
wewe si umesoma hapo juu? au nawe ndio wale wavivu na wafuata mkumbo kulingana na makelele ya waropokaji yanapoelekea?
soma hapo halafu niambie kuna athari gani kwa Tanzania kwenye mapendekezo ya seneti ya marekani zaidi ya kujaribu kurekebisha mambo ya kizamani kuendana na hali ya sasa kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa maslahi ya nchi zote mbili?
halafu kwasababu ya uvivu wa kufuatilia mambo,
wengi wanajua reassessment ambayo serikali ya marekani inafanya hivi sasa ni kuhusu Tanzania tu, kumbe ni kuhusu nchi karibu zote duniani zenye mahusiano ya kihistoria na marekani.
