Full Text: The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship bill

Full Text: The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship bill

Kama Marekani inafanya kwa nchi zote tuonyeshe assessment bill ya Kenya.
kweli we jamaa una ufinyu wa taarifa dah?
US goverment through the senate imefanaya hiyo assessment kwa mataifa yote washirika wa kidiplomasia, kijeshi, kisiasa na kiuchumi,

ni muhimu sana kua na ufuatiliaji mpana kidogo kwenye masuala haya ya kimataifa, japo nisikulazimishe au kukupa kazi sana, kwasababu huenda huna utaalamu na mambo haya mazito ya kimataifa na huenda nawe ni mfuata mkumbo tu,

Tanzania ni sehemu tu ya muswada huo wa serikali ya Marekani dhidi ya mataifa washirika wa washington:1Head:
 
Kibaya zaidi tutakaoumia na kuteseka ni sisi wananchi wa chini kabisa..
Machawa nao pia wasubiri kuisoma namba sababu nao ni watu wa chini kabisa kama lina sisi 😂🤣
 
Back
Top Bottom