Full Text: The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship bill

Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.

Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.

View attachment 3595847View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595845
muswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.

in fact,
ni muswada unaolenga zaidi kuimarisha mahusiano ya muda mrefu na ya kihistoria na yenye maslahi chanya na mapana ya nchi zote mbili kwa mazingira ya sasa.

hakuna athari kwa viongozi wa serikali sikivu ya CCM wala kwa wananchi wote wa Tanzania 🐒
 
Chemical Ali wa jamiiforums.
 
Hakuna athari OK, but as I told you earlier read at your own risk.
 
Safi kabisa, it's a two way traffic, wakati wewe ulishangilia watu kuuawa upande mwingine nao wanashangilia wauaji kuminywa ikiwezekana wafe kabisa who cares.
Sio kweli. Mnashangilia kuminywa wauaji na wasio wauaji. Kibinyo kikija hakichagui. Hata mashabiki nanyi mtaingia tu...
 
Unajua sipendi sana kujadili mambo yako ya siasa ila hapa unanipa mashaka kiasi. Waziri analalamika hajatendewa sawa na huu muswada ( anatoa milio). Wewe unasema hakuna athari za muswada huu. Sasa sijui kati yako na waziri yupi hajasoma na kuelewa maudhui ya muswada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…