gentleman usipojadili siasa utakua mbea tu mtaani,Unajua sipendi sana kujadili mambo yako ya siasa ila hapa unanipa mashaka kiasi. Waziri analalamika hajatendewa sawa na huu muswada ( anatoa milio). Wewe unasema hakuna athari za muswada huu. Sasa sijui kati yako na waziri yupi hajasoma na kuelewa maudhui ya muswada.
Hapa unamaanisha Thabit Kombo anafata maneno ya mtaani na hajasoma hiyo document. Pia kwa comment hii uliyotoa hapa inaonekana hujasoma document yote. Au hujaelewa au unafanya spinning ya makusudi kwa watu wasioweza kusoma kingereza na kuelewa.gentleman usipojadili siasa utakua mbea tu mtaani,
halafu,
wewe si umesoma hapo juu? au nawe ndio wale wavivu na wafuata mkumbo kulingana na makelele ya waropokaji yanapoelekea?
soma hapo halafu niambie kuna athari gani kwa Tanzania kwenye mapendekezo ya seneti ya marekani zaidi ya kujaribu kurekebisha mambo ya kizamani kuendana na hali ya sasa kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa maslahi ya nchi zote mbili?
halafu kwasababu ya uvivu wa kufuatilia mambo,
wengi wanajua reassessment ambayo serikali ya marekani inafanya hivi sasa ni kuhusu Tanzania tu, kumbe ni kuhusu nchi karibu zote duniani zenye mahusiano ya kihistoria na marekani.
gentleman,Hapa unamaanisha Thabit Kombo anafata maneno ya mtaani na hajasoma hiyo document. Pia kwa comment hii uliyotoa hapa inaonekana hujasoma document yote. Au hujaelewa au unafanya spinning ya makusudi kwa watu wasioweza kusoma kingereza na kuelewa.
Hiyo bill tuombee isipite huko bengeni kwao. Maana itatuumiza wote. Tena sisi wa hali chini ndo tutaumia sana kwa ujinga wa watu wachache.
Afadhali umekubaliana nami kuwa sote tutaumia bila kujali vyama wala dini zetu. Tofauti ni viwango vya maumivu tuMaumivu nitakayopata mimi hayawezi kulingana na atakayopata Mafwele na wauaji wenzake.
Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595852View attachment 3595854View attachment 3595851View attachment 3595861View attachment 3595860View attachment 3595862View attachment 3595863View attachment 3595864View attachment 3595866View attachment 3595867View attachment 3595865View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595853View attachment 3595849View attachment 3595874
Nchi inaendeshwa Kama gari lililokatika senta bolt- A.H.MWINYI
Copy paste ya ICCKaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595852View attachment 3595854View attachment 3595851View attachment 3595861View attachment 3595860View attachment 3595862View attachment 3595863View attachment 3595864View attachment 3595866View attachment 3595867View attachment 3595865View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595853View attachment 3595849View attachment 3595874
We jamaa ni mkundvmuswada wa kawaida sana kuhusu nchi powerful ya kidemokrasia na ya kawaida sana.
in fact,
ni muswada unaolenga zaidi kuimarisha mahusiano ya muda mrefu na ya kihistoria na yenye maslahi chanya na mapana ya nchi zote mbili kwa mazingira ya sasa.
hakuna athari kwa viongozi wa serikali sikivu ya CCM wala kwa wananchi wote wa Tanzania 🐒
relax gentleman with pointless and empty headWe jamaa ni mkundv
The mazafakas are definitely on the hook!Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi.
Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
View attachment 3595847View attachment 3595852View attachment 3595854View attachment 3595851View attachment 3595861View attachment 3595860View attachment 3595862View attachment 3595863View attachment 3595864View attachment 3595866View attachment 3595867View attachment 3595865View attachment 3595848View attachment 3595846View attachment 3595845View attachment 3595853View attachment 3595849View attachment 3595874
Hapana.Unafuraaahi mwenyewe kuwa nchi itapigwa ban
Muuaji ni Samia Suluhu Hassan; hao akina Mafwele ni watekelezaji wa amri wanazopewa. Sijui kwa nini nasi tunatafuta njia za kupindisha ukweli ulio wazi!Maumivu nitakayopata mimi hayawezi kulingana na atakayopata Mafwele na wauaji wenzake.
Kama Marekani inafanya kwa nchi zote tuonyeshe assessment bill ya Kenya.gentleman usipojadili siasa utakua mbea tu mtaani,
halafu,
wewe si umesoma hapo juu? au nawe ndio wale wavivu na wafuata mkumbo kulingana na makelele ya waropokaji yanapoelekea?
soma hapo halafu niambie kuna athari gani kwa Tanzania kwenye mapendekezo ya seneti ya marekani zaidi ya kujaribu kurekebisha mambo ya kizamani kuendana na hali ya sasa kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa maslahi ya nchi zote mbili?
halafu kwasababu ya uvivu wa kufuatilia mambo,
wengi wanajua reassessment ambayo serikali ya marekani inafanya hivi sasa ni kuhusu Tanzania tu, kumbe ni kuhusu nchi karibu zote duniani zenye mahusiano ya kihistoria na marekani.
Hakuna anayepindisha, watu mnachanganya adhabu aliyopewa Mafwele ni kutokana na utekaji aliohusika mwaka janaMuuaji ni Samia Suluhu Hassan; hao akina Mafwele ni watekelezaji wa amri wanazopewa. Sijui kwa nini nasi tunatafuta njia za kupindisha ukweli ulio wazi!