Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

Kwanini waarabu hamuwapendi!! Imagine Mamelodi anacheza na chelsea au man u au enyimba, hivi mtafanya kama ilivyo kwa waarabu!! Huu ubaguzi sijui lini utaisha
Wewe akili yako ni fupi mno hapo ushahusisha uislamu na al ahly wakati kiuhalisia huko al ahly yupo pery tau na antony modeste ambao ni wakristo nikwamba watu wanashabikia timu wanazozipenda sasa wewe sijui una mamlaka gani mpaka uhoji hilo kuku wewe
 
Sema kipa wa Mamelodi ni shujaa, ule msako sio mchezo
Williams huyu jamaa ndio kipa Bora afrika sema huwa hazungumzwi sana na nadhani ndie mchezaji Bora afrika kwa Sasa
Kutoa penalty kwake huwa hata sio shida
Kufanya save ni kawaida kuanzisha mashambulizi kawaida
Tangu game ya Petro de Luanda hadi Leo ye ndie man of the match
 
Hajafungwa penalty toka msimu Jana wa CAF
 
Ile VAR pale ni Refa alijishtukia, couz alishanyima mamelodi penalty, ko angeidhinisha pale kwa al ahly ingekua uonevu wa waziii.

Mbna matukio mengi wakifanya Al ahly haend kwa VAR??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…