FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Kamtoa mmeoLabda mamelodi ya moden taarab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamtoa mmeoLabda mamelodi ya moden taarab
AaahaaaaaMakolokolo SC fans watakupopoa Ndugu yangu maana walijiandaa kututukana Wananchi kuwa wao ni wa kimataifa wakiwa na matarajio Al Ahly atamtoa Mamelodi Sundowns, kilichowapata hadi hivi sasa ni "shangilia lakini usiniguse" [emoji124][emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Isingekuwa lile goli la kujifunga M.Mvala msimu uliopita...Mamelody vs wyda ...pAy back time
Nasikia huyu mwalimu wa tuisheni wa Yao YaoView attachment 2800623chuma cha pua hiki hapa, waarabu watasimulia
Wewe akili yako ni fupi mno hapo ushahusisha uislamu na al ahly wakati kiuhalisia huko al ahly yupo pery tau na antony modeste ambao ni wakristo nikwamba watu wanashabikia timu wanazozipenda sasa wewe sijui una mamlaka gani mpaka uhoji hilo kuku weweKwanini waarabu hamuwapendi!! Imagine Mamelodi anacheza na chelsea au man u au enyimba, hivi mtafanya kama ilivyo kwa waarabu!! Huu ubaguzi sijui lini utaisha
Wewe ndo assitant lekcha wa anatomy chuo x?Isingekuwa lile goli la kujifunga M.Mvala msimu uliopita...
Dah...
Williams huyu jamaa ndio kipa Bora afrika sema huwa hazungumzwi sana na nadhani ndie mchezaji Bora afrika kwa SasaSema kipa wa Mamelodi ni shujaa, ule msako sio mchezo
Hajafungwa penalty toka msimu Jana wa CAFWilliams huyu jamaa ndio kipa Bora afrika sema huwa hazungumzwi sana na nadhani ndie mchezaji Bora afrika kwa Sasa
Kutoa penalty kwake huwa hata sio shida
Kufanya save ni kawaida kuanzisha mashambulizi kawaida
Tangu game ya Petro de Luanda hadi Leo ye ndie man of the match
Hakuna sehemu nimesema nakuchukia Al ahly Ila Mimi niliudhika ilivoanza kubebwa live.. na mi kuishabikia mamelody haimaanishi ubaguziKwanini waarabu hamuwapendi!! Imagine Mamelodi anacheza na chelsea au man u au enyimba, hivi mtafanya kama ilivyo kwa waarabu!! Huu ubaguzi sijui lini utaisha
Mm kanichoka kakupata bikra anaenda kumaliza mwaka kwa kuitatua ile ya nyuma mwikoKamtoa mmeo
Ile VAR pale ni Refa alijishtukia, couz alishanyima mamelodi penalty, ko angeidhinisha pale kwa al ahly ingekua uonevu wa waziii.Mamelodi alinyimwa penalti ya wazi kabisa !
Yote kwa yote nimefurahi Ah Ahly ametolewa .
Walikuwa Wanasubiri mbeleko ya refa dakika za lala salama var ikawaumbua.
Aliyegundua var Kweli Ana maarifa mengi na kama sio bao la Frank lampard kusawazisha dhidi ya ujerumani Kwenye Euro likakataliwa pengine tusingeona var kwenye football au ingechelewa kuingizwa.
Uwanja wa Cairo uliojaa watu 50000 dakika za mwisho ulikuwa kimya kama hakuna washangiliaji.
Hakika mamelodi alikaza sio Suala la mchezo Al ahly kutolewa kwake.
Kabisa mkuu anajua mpaka anajua tenaNasikia huyu mwalimu wa tuisheni wa Yao Yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda mamelodi ya moden taarab
Tell her[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masandawanaaa anachukuaa ndooo, ntakuja kukuuliza.
Hakuna sehemu nimesema nakuchukia Al ahly Ila Mimi niliudhika ilivoanza kubebwa live.. na mi kuishabikia mamelody haimaanishi ubaguzi
Mamelodi ana pita na Wydad mapema tena first leg biashara inaisha
Hilo halina ubishi, kwanza ni Yanga wenzetu hao.Mamelodi ana pita na Wydad mapema tena first leg biashara inaisha