Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Al ahly 2 mamelody 1
Au wanapigana misumari kama Rage FC.Wana wachezaji wazuri ila pancha
Tupia linkYou tube wanarusha tena poa kabisa
Ndio maana nimesema wanabebwa kwasababu kuna maamuzi sio sahihi.
Hawa Aly Ahly utafikiri sio wale waliocheza na simba aisee
Pole mkuuKila la heri al ahly
Unaumizw hisia za watu mkuuHuu ndio mpira sasa ,sio wa siku ile mechi upande mmoja mpka inapooza.