Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Siku zote me huwa namuona ni kiungo mbabaishaji. Kweli, anajitahidi kukaba lakini ubunifu kwake ni 30% tu plus si mpiga pasi mzuri.
We unajua kutizama mpira kweli. Aucho hana pasi za ubunifu zinazomleta magoli ila ktk kukaba anakaba. Na kwa uzito wake anajitahidi kucheza faulo mbali yaani mtu akimuacha miguu miwili anacheza faulo ili asije akaleta madhara.
 
Huyo yupo kwenye kundi la mashabiki wanaotamani Yanga ifanye vibaya ili amkosoe vizuri Hersi Said
Acha upumbavu wewe, mbona wakati namsifia hukusema haya?
Yani afanye maamuzi ya kipuuzi ya kumfukuza kocha nimsifie badala ya kusema ukweli?

Hersi ataondoka ila Yanga itabaki, na mimi ni shabiki wa Yanga sio Hersi.
 
Zimbabwe kuna waganga wazuri sana. Dube hastahili hata kubeba viatu vya Aziz
 
Acha upumbavu wewe, mbona wakati namsifia hukusema haya?
Yani afanye maamuzi ya kipuuzi ya kumfukuza kocha nimsifie badala ya kusema ukweli?

Hersi ataondoka ila Yanga itabaki, na mimi ni shabiki wa Yanga sio Hersi.
Hapo uliropoka madam
Viongozi wanajua mengi kuhusu timu kuliko sisi Wanachama
Ulikuwa na haraka ya nini kulalama hadharani
 
We unajua kutizama mpira kweli. Aucho hana pasi za ubunifu zinazomleta magoli ila ktk kukaba anakaba. Na kwa uzito wake anajitahidi kucheza faulo mbali yaani mtu akimuacha miguu miwili anacheza faulo ili asije akaleta madhara.
Aucho anakaba
Pia anadictate timu icheze vp, anakuja kuhamisha uwanja , zile long pass nyingi sana hua ni accurate
Jamaa mtu sana pale kati
Sioni substitute yake tunaipatia wapi
 
Hapo uliropoka madam
Viongozi wanajua mengi kuhusu timu kuliko sisi Wanachama
Ulikuwa na haraka ya nini kulalama hadharani
Hadi leo msimamo wangu ni uleule, haukuwa uamuzi sahihi.

Maamuzi yalitangazwa hadharani, nami nilisema hadharani na hata sasa nasema Hersi alizingua.

Leo hii tupo kwenye pressure ya kutegemea mechi ya mwisho kwa ajili ya maamuzi yale ya kipumbavu.

Kama kwako/kwenu ulikua uamuzi sahihi ni sawa.
 
Aucho anakaba
Pia anadictate timu icheze vp, anakuja kuhamisha uwanja , zile long pass nyingi sana hua ni accurate
Jamaa mtu sana pale kati
Sioni substitute yake tunaipatia wapi
Hadi kesho naamini kama sio kumkosa Aucho tungekuwa na kombe la shirikisho, huku tukienda nusu fainali klabu bingwa msimu jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…