Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi? Droo bhanaYanga nawatakia ushindi mwema
Mungu Tunaomba Sisi watoto wako uipatie Timu yetu hii Tunayoipenda sana Ushindi.Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
Kabla ya dakika 90 huwa tujimwambafai🤣😂Ewaaaaa.
AiseeIla mechi ijayo na Waarabu mtachezea kipondo hapo hapo BMK....
Kama sio kipondo mtatoka droo..wenzenu waleeeee warukaaa
Wewe umekiona kikosi? Ibenge kaweka full mkokoMkuu tusijifariji mchezo ushaisha ibenge kashapewa chake kasema atawapangia kikosi b eti kashafuzu kwahiyo hataki kuwachosha key players wake, msomali kashafanya yake safari hii yanga wameamua kutafuta ushindi kwenye kila mechi kwa namna yoyote mradi wasiaibike, wakiwaza zile mbwembwe za kujifanya wana kikosi kipana na kuwauliza watu "we hauogopi" halafu cafcl waje kuishia makundi na nbcpl wakose ubingwa wataambia nini watu
View attachment 3199794
Sawa. Wapenzi na washabiki wote wa Yanga, hakikisheni mna Calculator zenu pembeni. Ila pamoja na utani wa jadi, itakuwa jambo jema sana Yanga wakishinda hii mechi, na hata inayofutia.Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
Kaweka full mkoko lakini kichapo awatokiepukaWewe umekiona kikosi? Ibenge kaweka full mkoko
Hata mimi ngoja nikalale tuNgoja nikalale mie mechi ya mtu aliefuzu na ambae yuko mkiani nayo mechi?? Kupotezeana muda tuuu...
Loloete nawaombea my byutiful utopolo...
Ila nimeshatoa utabiri wangu hapo juu...
Yaani kocha kampanga Diarra halafu wewe unaleta mizaha eti Mungu aipatie Uto ushindi...Mungu Tunaomba Sisi watoto wako uipatie Timu yetu hii Tunayoipenda sana Ushindi.
Tunahitaji kushinda hii mechi.
Asante Mungu kwa kujibu maombi yetu.
Amen!!
View attachment 3200028
Umejifunzia wapi matusi makubwa makubwa namna hii?Ila kushinda mtashinda leo...