Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Bongo wanakuza tuu mambo na misemo calculator ya nini bwana nyie mbona simple kabisa wala hamna shida ya kikokoteo.
Shinda mechi mbili zilizobakia robo mmeingia.
Ndo hapo eti Mzab. ujue nashangaa ugumu uko wapi hapo wakati hesabu ziko wazi kabisa.

Na hapo leo wameshaanza maneno meengi kisa tu wanajua points tatu tunazikwapua.
 
Ndo hapo eti Mzab. ujue nashangaa ugumu uko wapi hapo wakati hesabu ziko wazi kabisa.

Na hapo leo wameshaanza maneno meengi kisa tu wanajua points tatu tunazikwapua.
Mie nawatakia ushindi leo ili sasa wikend ijao tukajaa pale nesho tupate burudani maana najua mishangazi ya yanga itajaza uwanjaaaa
 
Watu waheshimu mpira; siyo tu Yanga wana nafasi ya kufuzu robo fainali, vile vile wana nafasi ya kuwa vinara wa kundi lao.
 
Screenshot_20250112_210421_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom