Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Yani Ibenge akifungwa goli zaidi ya mbili atakua kajidhalilisha mnoo...yani mtu wa point 4 amfunge goli 2 jamani na kuendelea...uwiii nafwaaaaaaaaaaaaaa
Ila kushinda mtashinda leo...
Huo ndo ukweli mtamu wana Calkuleta FC
 
Ngoja tuwashihudie mkitolewa. Droo yoyote iwe ya nguo au viatu lazime iwatoe nje
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni





*Leo Ndiyo, Leo Kivumbi Na Jasho
 
Mungu Tunaomba Sisi watoto wako uipatie Timu yetu hii Tunayoipenda sana Ushindi.
Tunahitaji kushinda hii mechi.
Asante Mungu kwa kujibu maombi yetu.
Amen!!
 
Wewe umekiona kikosi? Ibenge kaweka full mkoko
 
Sawa. Wapenzi na washabiki wote wa Yanga, hakikisheni mna Calculator zenu pembeni. Ila pamoja na utani wa jadi, itakuwa jambo jema sana Yanga wakishinda hii mechi, na hata inayofutia.
 
Shabaniiii weeeeee shabaniiiiii!

Mtaniiiii kila la kheri

Tatizo ulinicheka first half nilivyofungwa na bravooo!
 
Ngoja nikalale mie mechi ya mtu aliefuzu na ambae yuko mkiani nayo mechi?? Kupotezeana muda tuuu...
Loloete nawaombea my byutiful utopolo...
Ila nimeshatoa utabiri wangu hapo juu...
Hata mimi ngoja nikalale tu
 
Muda umefika wa utopwinyo kunyolewa kwa sime.

Leo atapigwa mpaka achakae.
 
Uto wapigwe tuu Ili Waarabu wafuzu,hakuna Cha maana wamefanya msimu huu
 
Mungu Tunaomba Sisi watoto wako uipatie Timu yetu hii Tunayoipenda sana Ushindi.
Tunahitaji kushinda hii mechi.
Asante Mungu kwa kujibu maombi yetu.
Amen!!
View attachment 3200028
Yaani kocha kampanga Diarra halafu wewe unaleta mizaha eti Mungu aipatie Uto ushindi...

Acha bangi we chura wahed.

Leo kuna pazia na shati kwa goli la utopwinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…