YANGA atafungwa na hata akifunga, bado atabaki nafasi ya tatu. Just wastage of time and resourcesNini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Piga utopolo hao
Kupata kichekesho hiki tuma kwenda namba 15533Yanga atashinda kwa goli nne (4) kwa zero (0).