Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Siku zote me huwa namuona ni kiungo mbabaishaji. Kweli, anajitahidi kukaba lakini ubunifu kwake ni 30% tu plus si mpiga pasi mzuri.
Pass mimi ndo ananiudhi
Ila angalia Wakina Aucho Pacome nk wanavyonyoosha rula mpaka unahisi unaangalia soka la ulaya kuna muda
Ila mpira ukimfikia Mudathir unapotea ...
Wamwekee kiraka kama Yao na shonari tuone maajabu
 
Back
Top Bottom