Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Huyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
Ni kikosi hikihiki cha dhahabu lakini kilishatoka kwenye reli kikaanza kupoteza mechi na kupelekea Gamondi kuondolewa, ni chini ya Kocha huyu kikosi kimerudi kwenye reli na kuanza kushinda mechi zake mfululizo.

Ni chini ya Kocha huyu, mfumo wa uchezaji umeonekana kuimarika na kuwapa shida wapinzani wao.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250113_065311_WhatsApp.jpg
 
Akaunti yako imehakiwa ama? 😳

Kalpana?

Anatoa hongera kwa timu pendwa Yanga?

How is this possible? 😳😳😳
Rudia mtani nimeedit kidogooo...
Ukweli ni kwamba hii mechi ilikua imeshaisha nje ya uwanja...
Ndo maana nilisema mtashinda...
Ibenge mwenyewe aliwaambia hana
Cha kupoteza

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha upumbavu wewe, mbona wakati namsifia hukusema haya?
Yani afanye maamuzi ya kipuuzi ya kumfukuza kocha nimsifie badala ya kusema ukweli?

Hersi ataondoka ila Yanga itabaki, na mimi ni shabiki wa Yanga sio Hersi.
Haka kademu kanajipaga umuhimu alafu kanajikuta smart kenyewe 😂😂😂
Kwa hiyo wewe usipomsifia hersi anakuwa kapoteza nini 😅

Kujichanganya na wanaume muda wote kwa mtoto wa kike ilo ni tatizo kubwa sana huwezi elewa but you have problems 😂😂
 
Back
Top Bottom