Azam apigwe kipigo cha jibwa koko lenye GONO lililonyonyoka manyoyaSIKU YA MECHI KALI.
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Azam Fc π Young Africans SC
π 10.04.2025
π Azam Complex
π 1:00 Jioni
Na Mimi nimeshangaa mtu mzima analia eti kwa kuwatoa waarabu wa igunga kwa penalty kaona ni jambo ambalo ni la ajabu sana kwakeπ€£π€£Nimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
Mwanaume kulia lia hovyo na yenyewe haijakaa poa hata kidogo. Yaani timu kuingia nusu fainali, tena kombe lenyewe ni la shirikisho! Ndiyo umwage machozi!!Nimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
ile timu sasahivi ipo majnuni!, so kufuzu pale ilikuwa ni kama muujiza!Na Mimi nimeshangaa mtu mzima analia eti kwa kuwatoa waarabu wa igunga kwa penalty kaona ni jambo ambalo ni la ajabu sana kwakeπ€£π€£
Wenzake wamekipiga fainali na kushinda uko uko ugenini wangekuwa wao angezimia na kufa kabisa maskini!
Mangungu akiona hiki ulichoandika hapa, lazima amwage machozi ya kutosha na kujiambia mwenyewe "hapa kweli kijana ninaye"Mashabiki wote wa yanga hawana akili kutwa kujiapiza, ban ban yamesahau kuwa yana mechi. Lolote baya liwakute, uto wakubwa nyie.πΈπΈ
View attachment 3298477
Nimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
Na Mimi nimeshangaa mtu mzima analia eti kwa kuwatoa waarabu wa igunga kwa penalty kaona ni jambo ambalo ni la ajabu sana kwakeπ€£π€£
Wenzake wamekipiga fainali na kushinda uko uko ugenini wangekuwa wao angezimia na kufa kabisa maskini!
Hebu acheni kujitoa ufahamu ninyi wenyewe mlifika fainali kwa kukutana na vibonde kina Rivers na Marumo kwenye hatua za robo na nusu, hao waarabu wanacheza ligi ya Misri na wako nafasi ya nne siyo wale wenu wa Algeria ambao mlishindwa kuwafunga japo goli moja tu la kuwafanya mfuzu, halafu niwakumbushe tu wale vibonde wenzenu mliokuwa nao kundi moja huko wote wameishia robo huku Simba na mwenzie Constantine wote wako nusuMangungu akiona hiki ulichoandika hapa, lazima amwage machozi ya kutosha na kujiambia mwenyewe "hapa kweli kijana ninaye"
Usifananishe vitu wewe,,kikombe cha kahawa usiwe unalinganisha na waliokuwa kwenye ligi ya wanaume,,Pengine ubora wa Al masry umeuona wewe peke yako kwamba ni timu Bora ya kuifunga mpaka ukaliaπ€π€Hebu acheni kujitoa ufahamu ninyi wenyewe mlifika fainali kwa kukutana na vibonde kina Rivers na Marumo kwenye hatua za robo na nusu, hao waarabu wanacheza ligi ya Misri na wako nafasi ya nne siyo wale wenu wa Algeria ambao mlishindwa kuwafunga japo goli moja tu la kuwafanya mfuzu, halafu niwakumbushe tu wale vibonde wenzenu mliokuwa nao kundi moja huko wote wameishia robo huku Simba na mwenzie Constantine wote wako nusu
Kilele Cha furaha kwa wanasimba ni Leoπ€£SIKU YA MECHI KALI.
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Azam Fc π Young Africans SC
π 10.04.2025
π Azam Complexm
π 1:00 Jioni
Kijana wa Mangungu! Mbona umeni quote bila ya sababu?Hebu acheni kujitoa ufahamu ninyi wenyewe mlifika fainali kwa kukutana na vibonde kina Rivers na Marumo kwenye hatua za robo na nusu, hao waarabu wanacheza ligi ya Misri na wako nafasi ya nne siyo wale wenu wa Algeria ambao mlishindwa kuwafunga japo goli moja tu la kuwafanya mfuzu, halafu niwakumbushe tu wale vibonde wenzenu mliokuwa nao kundi moja huko wote wameishia robo huku Simba na mwenzie Constantine wote wako nusu
Kumbe kuna mabonanza yanaendelea hukuSIKU YA MECHI KALI.
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Azam Fc π Young Africans SC
π 10.04.2025
π Azam Complex
π 1:00 Jioni