Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Kumbe kuna Hii Match.
Akili zote zilikuwa Simba Vs Almasri.
Ni michuano gani tena hyo mkuu! Nisije poteza muda wangu bure kuangalia haya matimu ya mtaani yanabutua tu mipira utafikiri wako mazoezini
 
Matokeo ya jana ya Simba yameifanya hii mechi ikose Mvuto kabisa
Hahaha, Kuna watu bado hawana raha.

Halafu Azam akifungwa nadhani anatolewa kwenye mbio za ubingwa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom