Tayari my😂Kila la kheri Timu ya Wananchi
Azam anaweza fungwa nyingi leo.Lambalamba hovyo tu...
Alizimia na kujinyea Ali Kamwe kwa kuingia robo fainali unashangaa la Ahmed Ali?Nimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
Azam tunawategemeaSIKU YA MECHI KALI.
View attachment 3298988
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC
📆 10.04.2025
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Jioni
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
View attachment 3299234
View attachment 3299235