Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Chama anaufanya mchezo wa mpira uonekane rahisi sana..
Bora chama mzee, kuliko ahoua kijana.

Pale msimbazi tunakosa playmaker, yule ahoua ni kiazi hafai kuchezea timu za kusaka ubingwa, Dodoma jiji huko kmc ndio hadhi yake.

Nimeona mafundi wengi, kina niyonzima na wengineo lakini huyu chama ni bora zaidi katika niliopata kuwaona ligi yetu.
Utulivu wake mbele ya lango la wapinzani na matumizi ya akili yupo daraja la pekee yake.
 
Chama anaufanya mchezo wa mpira uonekane rahisi sana..
Bora chama mzee, kuliko ahoua kijana.

Pale msimbazi tunakosa playmaker, yule ahoua ni kiazi hafai kuchezea timu za kusaka ubingwa, Dodoma jiji huko kmc ndio hadhi yake.

Nimeona mafundi wengi, kina niyonzima na wengineo lakini huyu chama ni bora zaidi katika niliopata kuwaona ligi yetu.
Wewe unajua mpira kaka
 
Chama ana mechi zake za kutamba, zingine anatafutwa kwa tochi...
 
Chama anaufanya mchezo wa mpira uonekane rahisi sana..
Bora chama mzee, kuliko ahoua kijana.

Pale msimbazi tunakosa playmaker, yule ahoua ni kiazi hafai kuchezea timu za kusaka ubingwa, Dodoma jiji huko kmc ndio hadhi yake.

Nimeona mafundi wengi, kina niyonzima na wengineo lakini huyu chama ni bora zaidi katika niliopata kuwaona ligi yetu.
Simba kuna wachezaji wengi wa kawaida sana:
Ateba, Ahoua, Okajepha, Debora, Che Malone, Awesu, Mutale, Omary Omary, Balua. Kocha anapata shida sana kufanya mabadiliko ya kiufundi
 
Back
Top Bottom