Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Simba kuna wachezaji wengi wa kawaida sana:
Ateba, Ahoua, Okajepha, Debora, Che Malone, Awesu, Mutale, Omary Omary, Balua. Kocha anapata shida sana kufanya mabadiliko ya kiufundi
Hujakosea hapo naweza kuwaonea huruma debora na che malone tu..
Shida ya che malone ni kujiamini kupitiliza..
Debora ajifunze kwa ngoma baadhi ya vitu anaweza kukuza kiwango chake.
 
Ni afadhali Azam wemeleta timu uwanjani kuliko wale waliokimbia
Mmezidi kutuonea, mnafikiri tumesahau mlichotufanya tarehe 5/11...?? Kwanini mufuatishe kalenda kwenye mambo ya mpira? Halafu tff nao wakapanga mechi tarehe 8. Mnafikiri hatukung'amua kilichokuwa kinaenda kutokea? Mlitaka awamu hii zifike 8? Kuliko tufungwe goli 8 tukaona bora tusije.. Afadhali mechi ingepangwa tarehe 1 ama 2 tungecheza!
 
Back
Top Bottom