kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Diarra nowadays ni shati..
Aseee imenyooka vibaya sanaBandia hiyo ila ya kiwango
bila kufungwa haridhikiDiarra nowadays ni shati..
Hahaaa!Marefaree wanaifavor Utopolo.!
Sisi hua tunachezaga veterans hapo hivyo mtu unapata nafasi ya kuiona vizuri kinanda mnoAseee imenyooka vibaya sana
Sindano zimerudi niniWachezaji wa Yanga wanakimbia vibaya mno. Muda wote wapo speed, huoni kama wanaongoza goli 2.
chukua filimbi sasaHuyo ndio Arajiga....mtu anasukumwa yeye anatoa faida Kwa Utopolo
NashangaaMpira bado haujaisha?
Bahati yenu.Mwaka gani?
Ila yanga wamezawadiwa muwa hawakwenda hivhivAzam wamepigwa 😄😃😃