KabisaaaaBado madame, wakitokea wawili naomba nipe mmoja 😹😹
Yanga ni moja tu…!! Woyoooooooooooo 💛💚
Utopolo baby 🐸
Mkuu kuifananisha Mc Alger na Al Masry ni kuthibitisha alichosema Aden Rage.Sasa kama lile kombe ni kikombe cha kahawa je zile medali ambazo watu walitamba nazo hadi ikulu tuziiteje, kwahiyo al masry ni wabovu kuliko mc alger na wale vibonde kina rivers na marumo, ninyi mlivamia hayo mashindano ya wanaume ndio maana mkaishia makundi wanaume wakaenda robo
Na wewe kwa akili ya kawaida tu unafananisha ligi ya Misri na ya Algeria, kitendo cha kusema eti Al Masry ni timu ndogo wakati inashika nafasi ya nne kwenye ligi bora barani Africa ni uduanzi, hata hapa kwetu tu Singida ambayo ndio inashika nafasi ya nne hatuidharau kiasi hikoKwa akili ndogo tu ata ya kuvukia Barabara unamlinganisha Mc alger na Al masry kweli? Al masry Hawa Hawa tuliowaona au Kuna wengine?
Sawa lakini nanyi kufananisha namna Simba walivyofuzu na Yanga mlivyofuzu CAFCC ni kuthibitisha waliyoyasema Manara na Eymael, hata hivyo si mlisema mna kikosi bora na kundi lenu lile la CAFCL safari hii ndio lilikuwa jepesi kuliko yote na ni kweli maana kundi lenu wote wameishia robo, sasa kama na kikosi chenu bora mlishindwa kutoboa kwenye lile kundi unadhani mngetoboa kwenye kundi gani kati ya yale matatuMkuu kuifananisha Mc Alger na Al Masry ni kuthibitisha alichosema Aden Rage.
mpira mzuri huvutia pia na maadui, wewe ni kolo ila umeamua uweke ukolo wako pembeni kuusema ukweli. Hongera sana kaka.Utopolo ni next level, performance ya kiwango cha Uefa Champions league
Hata hapa jukwaani imefifia kabisa yani!!Matokeo ya jana ya Simba yameifanya hii mechi ikose Mvuto kabisa
game ilipendeza sanaKila la kheri Timu ya Wananchi
bado sana mkuuYanga bingwa
Yanga walikoswa koswa janaLamomy mpaka sasa ushapokea ahadi yoyote kutoka kwa yeyote humu kuhusiana na mechi ya leo?
WhyAzam a failure project
Halaf mwisho wa siku ikawaje???Yanga walikoswa koswa jana
Kwenye mpira ni juhudi zako tu mzee. Sio bahati. Na kile walichofanya jana YANGA ni kupunguza tu speed ksbb Azam wanatumwa kuwaumiza tu wachezaji wa YANGA sio kucheza mpira. Kwa hiyo baada ya speed kipindi cha kwanza ikabidi kipindi cha pili kucheza kwa tahadhali, vinginevyo ulioona Pacome alivyochukuliwa. Ulioona Max alikoswakoswa lile daruga?Bahati yenu.