Yanga waliponea chupuchupuHalaf mwisho wa siku ikawaje???
Yanga waliponea chupuchupuHalaf mwisho wa siku ikawaje???
Akamiko jamaa wa kuwaweka benchiKwenye mpira ni juhudi zako tu mzee. Sio bahati. Na kile walichofanya jana YANGA ni kupunguza tu speed ksbb Azam wanatumwa kuwaumiza tu wachezaji wa YANGA sio kucheza mpira. Kwa hiyo baada ya speed kipindi cha kwanza ikabidi kipindi cha pili kucheza kwa tahadhali, vinginevyo ulioona Pacome alivyochukuliwa. Ulioona Max alikoswakoswa lile daruga?
Jamani, mie sikuangalia.Yanga walikoswa koswa jana
Tatizo wao ndio wanashikilia uchumi, hata hizo timu kuna mikono yao.Jamani, mie sikuangalia.
Nilikuwa kibaruani.
Hawa wahindi watatuua na kazi zao
Basi ndio maana wanafanya hivi.Tatizo wao ndio wanashikilia uchumi, hata hizo timu kuna mikono yao.
Chupuchupu mamtoni fcWametulaza na viatu