Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 676
- 1,445
Baada ya mechi hii kuisha Utopolo watataka wenyewe kucheza na mnyama
Ili wavunje rekodi yao ya kufikisha pointi nyingi mwishoni mwa ligi, au unafikiri hao wakamiaji watafanikiwa kukiepuka kikombe kama kile walichonywea wakamiaji wenzao wa Tabora United!!Baada ya mechi hii kuisha Utopolo watataka wenyewe kucheza na mnyama
Amen
ushindi ni haki yetu kutokana na ubora tulionao young African
yaan akili iwe kwenye mechi ya kuhangaika na waganga na mafutaKumbe kuna Hii Match.
Akili zote zilikuwa Simba Vs Almasri.
Vijana wanatakiwa wafie uwanjani leo ili waendelee kutupa furaha wakati huu tukielekea kuchukua ubingwa kwa mara ya 4 mfululizo. Wakizubaa tu, tumekwisha.
Naona mmetanguliza pussy zenu Chamazi
Bado unashangaa au umemaliza? 🤣🤣🤣Na Mimi nimeshangaa mtu mzima analia eti kwa kuwatoa waarabu wa igunga kwa penalty kaona ni jambo ambalo ni la ajabu sana kwake🤣🤣
Wenzake wamekipiga fainali na kushinda uko uko ugenini wangekuwa wao angezimia na kufa kabisa maskini!
Simba mnajua kukera sana ndio maana wengine huwa hatutaki kusikia mnashinda. Niseme tu MNAUZI SANA NYAU NYIEMashabiki wote wa yanga hawana akili kutwa kujiapiza, ban ban yamesahau kuwa yana mechi. Lolote baya liwakute, uto wakubwa nyie.🐸🐸
View attachment 3298477
Mechi ngumu ipiAmen
Ikawe heri Kwa timu ya wananchi
Japo mechi ni ngumu
Tupo pamoja na Azam