Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Umerusha kitaulo mwanetu wa Msimbazi?
Sinaga ushabiki maandazi, nimeanza kupenda soka enzi hizo, siku hizi soka ni burudani zaidi kuliko ushabiki.

Kweli mie ni msimbazi, lakini isinifanye kukataa kizuri, kupingana na ukweli ni kutafuta magonjwa ya moyo bure.

Yanga imeanza kuwa bora kitambo na kwa taratibu, wakati naliongea hili mashabiki wengi wa simba walikuwa wananipinga na wa yanga wakawa wanasema ninaWANANGA.

Msimu yanga anatolewa na al hilal, katafute comment yangu kule, kuna jambo nilizungumza, ukisoma ile basi huwezi pata tabu kabisa kwa kauli hizi.
 
At least azam wameswitch kucheza na beki 4, la sivyo ile ya kwanza wangekoga nyingi, na hapa kidoogo wataweza sumbuana na yanga kuliko mfumo ule wa kwanza.
 
Sasa ligi haijaanza umeanza kukataa tamaa unajua ligi itakuwa na ushindani gani?

Sijaona hoja ya msingi uliyo nayo. Ligi iaanze ndio tuanze kufanya analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…