Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Gamond anabebwa na upepo wa wachezaji hana lolote...
 
Kumbe fosali aliwakatikia..si anajua ndo mambo yenuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Ni ujinga tu kubishana na uhalisia. Boresha chako mshindane na sio kukataa umezidiwa.
 
Hawa Leo watakoma ni kupiga mande mpaka waombe maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…