Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Ifike stage Timu zote Tanzania zimuheshimu yanga zikiendelea kushupaza shingo zitakuwa zinaadhirika vibaya sana, Azam kaingia kucheza utafikiri anacheza na coast union au Simba matokeo yake kaokota BAO 3 za chap chap, wameongoza goli wakadhani wamemaliza wanacheza na coast wakashindwa kujua kwamba gamond ni katili anapoliona kombe mezani!
Gamond anabebwa na upepo wa wachezaji hana lolote...
 
Kumbe fosali aliwakatikia..si anajua ndo mambo yenu😃😃😃😃🤪🤪🤪
 
Kuna watu wabishi kuelewa MAKOLOW tokea msingi wa kwanza Yanga anachukua Kombe ,tatizo lao kuu ni ubishi hawataki kukubali wamezidiwa.

Walianza bahasha kupinga uwezo wa Yanga ligi kuu , tukasema sasa huku shirikisho je semeni bahasha wakachange gia wakasema ligi dhaifu vibonde.

Tukawapiga Tabulele tukawaambia haya semeni wenyewe kuwa na nyinyi vibonde dahifu au bahasha, wakasema bahati tu na bahasha tuwaone Klabu bingwa , nako huko wakazibwa mdomo.

Sifa ya MAKOLOW ni kutangatanga hawajui wabaki na msimamo upo kuhusu Yanga .

Rage! Rage ! Rage!
Ni ujinga tu kubishana na uhalisia. Boresha chako mshindane na sio kukataa umezidiwa.
 
Sasa hivi maDj wa Lupaso halftime ikifika wanatuwekea tu Masela huyo Mtotoooooooooooooooo kinaamka 😂🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂 Cc ephen_
Hawa Leo watakoma ni kupiga mande mpaka waombe maji
 
Back
Top Bottom