Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Dada punguza pressure umejiquote mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bwana usiwavimbishe kichwa..kwamba wao hawafungiki au kwamba wao ni nini labda?
Hakuna timi isiyofungwa, refer brazil πŸ‡§πŸ‡· ile bora kabisa, ya 58 mpaka 70 hivi, ile arsenal invincible, ile barca bora kabisa ya kina iniesta(kampa kampa tena), madrid ya kuchukua eufa back to back, hii man city ya guardiola, zote ni timu bora na zilifungwa.

Tuishie hapo dada yangu mpendwa, tutizame football
 
Mke wetu wa pili ana taka haki sawa na sisi πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…