Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Hao waliopelekewa moto na wale wazambia kwny siku yao...hawa ambao tumeqakimbiza dkk 90 wakatamani mpira uishe? Sema advantage yake ni kuwa wao wameshalizoea soka la Tz wana relax tofauti na wageni kwny timu yetu... wageni wetu wana tension kwanza ya kutaka kuonyesha ubora n.k ndhani hapa umenielewa..so relaax kaka...unaongea ukweli ila usipitilize...waswahili wanasema
Usinene ukamala...
Dada punguza pressure umejiquote mwenyewe😂😂😂
 
Bwana usiwavimbishe kichwa..kwamba wao hawafungiki au kwamba wao ni nini labda?
Hakuna timi isiyofungwa, refer brazil 🇧🇷 ile bora kabisa, ya 58 mpaka 70 hivi, ile arsenal invincible, ile barca bora kabisa ya kina iniesta(kampa kampa tena), madrid ya kuchukua eufa back to back, hii man city ya guardiola, zote ni timu bora na zilifungwa.

Tuishie hapo dada yangu mpendwa, tutizame football
 
Mke wetu wa pili ana taka haki sawa na sisi 💚💛💚💛💛
 
Back
Top Bottom