Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Wajinga wanakamiaga sana ndio maana huishia kuchezaga rafu.
 
Unaweza usieleweke kirahisi
 
Chama ajiandae kuzeekea kwenye benchi!! Mwisho wa siku ataishia kwenye timu kama KMC, kwa sasa akirudi Simba pia ataozea benchi!!
 
Chama ajiandae kuzeekea kwenye benchi!! Mwisho wa siku ataishia kwenye timu kama KMC, kwa sasa akirudi Simba pia ataozea benchi!!
Arudi Simba kufanya nini?
Kipindi chake cha kuwika ndio kimeisha hivyo!! Hakuna namna tena sasa
 
Mbona kama mnaingia upepo mapema sana? 🤣🤣🤣
Sio upepo ndio ukweli wenyewe, wanashindana kutembeza viatu, msimu uliopita Akamiko na Skudu kwenye ngao, mechi ya round ya pili wakatuvunjia wachezaji wawili Yao na Pacome,wakafanya mechi na Mamelodi iwe ngumu.Wanakamia tuu ila hawanaga mpira wowote na lazima wakamie sababu mmiliki wao nae 5imba.
 
Ngoja tuone Ball mkuu.
Usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…