Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Sasa ligi haijaanza umeanza kukataa tamaa unajua ligi itakuwa na ushindani gani?

Sijaona hoja ya msingi uliyo nayo. Ligi iaanze ndio tuanze kufanya analysis
Yanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.

Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣

Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.
 
Mpunbavuu sana Fri🤣🤣wapigwe 5, Gamondi ingiza Duke Abuya tuwaweke konoo mapunga Hawa.
 
Nimewaelewa sana.
Very Technical, wametulia sasa!!
Kocha alifeli kujaribu mfumo wakati unacheza na mkubwa mwenzio.

Ila alichonifurahisha ni uwezo wake wa kuona mapungufu, kayabaini mapungufu na fasta kabadilika, napenda makocha wa namna hii. Raha ya kocha awe mzuri kwenye mbinu
 
Mpira wa leo ni butua butua kwa pande zote!! Mechi ya Simba na Yanga ndo ilikuwa ya kiwango cha juu! Mpira ulichezwa wa kiwango cha juu!!
 
Kama unaangalia mpira ukiwa sitimbi inawezekana video zenu zikawa zinaonyesha slow motion....
Wapi bwana, acheni kujifariji na kutafutiza ushabiki. Hamna timu pale na wala huo mpira wa speed haupo. Nimeangalia mechi toka ya APR, Yanga na ya leo dhidi ya Coastal Union.

Hamuna mpira wa speed. Acheni kujitekenya dogo. Jipangeni kwa msimu miwili mbele ila kwa sasa hamna kitu.
 
Back
Top Bottom