makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Yanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.Sasa ligi haijaanza umeanza kukataa tamaa unajua ligi itakuwa na ushindani gani?
Sijaona hoja ya msingi uliyo nayo. Ligi iaanze ndio tuanze kufanya analysis
Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣
Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.