Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kuna sehemu nimesema tuseme Yanga wabovuYanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.
Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣
Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.
Wewe subiri ligi ianze huwezi presha za mpira kaa pembeni
Eti sitaki ugonjwa wa moyo tuachie Simba yetu 🤣