Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Yanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.

Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣

Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.
Kuna sehemu nimesema tuseme Yanga wabovu

Wewe subiri ligi ianze huwezi presha za mpira kaa pembeni

Eti sitaki ugonjwa wa moyo tuachie Simba yetu 🤣
 
Yanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.

Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣

Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.
Jidanganye

Azam imezidiwa mbinu mfumo wanaotumia unawacost wanajazana mbele kama askari wa vietnam Gamond kaona isiwe kesi ni mipira mirefu kwa kwenda mbele

Huu mfumo wa Gamond unafanya kazi kwa sababu anabeki nzuri vinginevyo azam ingetufunga mengi
 
Wapi bwana, acheni kujifariji na kutafutiza ushabiki. Hamna timu pale na wala huo mpira wa speed haupo. Nimeangalia mechi toka ya APR, Yanga na ya leo dhidi ya Coastal Union.

Hamuna mpira wa speed. Acheni kujitekenya dogo. Jipangeni kwa msimu miwili mbele ila kwa sasa hamna kitu.
Hizi comment kwangu huwa nimeweka ignore button hazinishtui kaka angu....endelea kuangalia kwa jicho lako la lenzi mbinuko....
 
Yanga imeanzia ilipoishia, simba tunajitafuta, azam bado.

Sasa unataka niseme yanga wabovu kisa tu mie simba. 😄 🤣

Huwezi kuona hoja, kamwe hutoweza kuona hoja yangu.
Kuna watu wabishi kuelewa MAKOLOW tokea msingi wa kwanza Yanga anachukua Kombe ,tatizo lao kuu ni ubishi hawataki kukubali wamezidiwa.

Walianza bahasha kupinga uwezo wa Yanga ligi kuu , tukasema sasa huku shirikisho je semeni bahasha wakachange gia wakasema ligi dhaifu vibonde.

Tukawapiga Tabulele tukawaambia haya semeni wenyewe kuwa na nyinyi vibonde dahifu au bahasha, wakasema bahati tu na bahasha tuwaone Klabu bingwa , nako huko wakazibwa mdomo.

Sifa ya MAKOLOW ni kutangatanga hawajui wabaki na msimamo upo kuhusu Yanga .

Rage! Rage ! Rage!
 
Nadhani azam wana luck kocha mwenye mbinu. Miaka nenda rudi, wana kikosi kizuri lakini sasa hawana impact. Time for wakurugenzi waangalie wana feli wapi
Walishamuacha Nabi, ndio basi tena.
 
Hawa Young Africans kipindi cha pili watarudi Jangwani kwa kilio cha kushindwa mechi hii ya Community Shield 2024

Maoteo dakika 90' za mechi inaisha :
Young Africans 3 - 4 Azam FC
Kwa mpira upi, Wakirudi na mentality ya kurudisha tinawafunga 5 kwa moja kama Kaka zao
 
Jamaa anamwaga sana maji…appreciation post kwake🔥🔥
IMG_2719.jpeg
 
Kuna sehemu nimesema tuseme Yanga wabovu

Wewe subiri ligi ianze huwezi presha za mpira kaa pembeni

Eti sitaki ugonjwa wa moyo tuachie Simba yetu 🤣
Simba yenu.. nyie vijana wa D 2 mna tabu, haya kaeni na hiyo simba yenu, mie huko dunia ya kusifia tu mradi hiki ndio nikipendacho, NISHATOKA huko
 
Back
Top Bottom