Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Sasa hivi maDj wa Lupaso halftime ikifika wanatuwekea tu Masela huyo Mtotoooooooooooooooo kinaamka πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Cc ephen_
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’šπŸ’›πŸ§‘
 
Sasa hivi maDj wa Lupaso halftime ikifika wanatuwekea tu Masela huyo Mtotoooooooooooooooo kinaamka πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Cc ephen_
Yaani raha mwanzo mwisho.
 
Ifike stage Timu zote Tanzania zimuheshimu yanga zikiendelea kushupaza shingo zitakuwa zinaadhirika vibaya sana, Azam kaingia kucheza utafikiri anacheza na coast union au Simba matokeo yake kaokota BAO 3 za chap chap, wameongoza goli wakadhani wamemaliza wanacheza na coast wakashindwa kujua kwamba gamond ni katili anapoliona kombe mezani!
 
Mpira DK 90, mbona tambwe nyingi.
Kaeni basi kwa kutulia.
Mambo haste haste.
 
Back
Top Bottom