Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja Mwamba,Kwanza Hongera Kwa Ushindi
Naunga mkono hoja wakijichanganya kwa wale wa misri naziona 7 mayele kambaniHawa APR tu wanawakata kichwa
Asante sana kaka Cc ephen_Mmetisha sana bro😁😁
Asante sana kaka 😂😁Nimekuja Mwamba,Kwanza Hongera Kwa Ushindi
Azam alijiponza kutaka kupishana na wewe kiwanjani.Asante sana kaka 😂😁
DaaahMwasibu tunaye na tunatamba Vilevile 🤣
Alitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....Umelipenda uno urojo nini 😂😂
Kui---!!!!!😁Alitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....
Mshenzsana 😹😹😹Kui---!!!!!😁
Wewe dada nikikuona kwa mara ya kwanza ndio nita honga konyagi kubwa 😆😆😆😆😆😆😆Mshenzsana 😹😹😹
Sa si unihonge hilo jibapa nihangaike nalo sahivi 😋😋😋 kesho nimwambie boss naumwa sijiiiii aiiii sijiiiiiiWewe dada nikikuona kwa mara ya kwanza ndio nita honga konyagi kubwa 😆😆😆😆😆😆😆
Ukicheza na hii yanga paki basi tu, ukijichanganya kuweka mpira chini kutaka kupishana nayo yatakukuta mazitoAzam alijiponza kutaka kupishana na wewe kiwanjani.
Angeendelea angekula 5
😄😄😄😄😄Sa si unihonge hilo jibapa nihangaike nalo sahivi 😋😋😋 kesho nimwambie boss naumwa
Dada angu kumbe wewe ni mwanachi.! kwa heshima yako nitaacha kuwapa makavu kule jukwaa la MMUAlitishia kuitmba yanga, mshenzi yule mtoto.....
Usiniite dada lakini, si unajua nakupendaga japo haunitaki 😊Dada angu kumbe wewe ni mwanachi.! kwa heshima yako nitaacha kuwapa makavu kule jukwaa la MMU