Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Ndio mnavyotaka kusikia na kusoma kizazi kibaya cha zinaa. Ukija uzi kuhusu Mungu ninkushambulia, kukosoa na kuupiga vita.Mtoto anautaka 😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mnavyotaka kusikia na kusoma kizazi kibaya cha zinaa. Ukija uzi kuhusu Mungu ninkushambulia, kukosoa na kuupiga vita.Mtoto anautaka 😹
Tunanenepeana ovyo kwa kweli.Nipo Shem nami nimekumiss pia.
Yaani hii Yanga imeninenepesha sana shem. 🤣🤣
Dini zinatugombanisha tu komando hazina maana, kama ndani ya moyo wako unamuamini Mungu wako una upendo inatosha......Ndio mnavyotaka kusikia na kusoma kizazi kibaya cha zinaa. Ukija uzi kuhusu Mungu ninkushambulia, kukosoa na kuupiga vita.
Yule board member wa 'timu tunayo' anafanya siasa ya afyaNgoja janabi akusikie🤣
Hivi bado nafasi yake iko?Yule board member wa 'timu tunayo' anafanya siasa ya afya
Hee 😆Dini zinatugombanisha tu komando hazina maana, kama ndani ya moyo wako unamuamini Mungu wako una upendo inatosha......
Punguza mawanga wangaTunanenepeana ovyo kwa kweli.
Matumizi mabaya ya manenoThe club above all 🙌
NdioHivi bado nafasi yake iko?
Mna point 6 zetu mtaniMatumizi mabaya ya maneno
Hao nafasi ya 3 ilishawaganda tangu mda, ligi nafasi ya 3, huku nafasi ya 3 😂Hatuji tena kwenye mechi za Yanga, hatuji tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Makolo wamegombea nafasi ya 3, wee huogopi?
Uko wapi ....😹Hee 😆
Sawa babu. Ila wewe wenge limekuvuka.Punguza mawanga wanga