mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Wewe watakie ushindi Morocco.ila wakishinda wao wanasema ni ushindi wao na waarabu wenzao Kwa wewe unajipendekeza.jifunze kubalance shoboMimi naitakia ushindi timu ya taifa ya Morocco (The Atlas Lions), Brazil ameshalitwaa hili kombe mara nyingi mno na wengine pia walitwae.
SAYNGAYWanasema waarabu Hawana akil
Akili za watumishi wa Tamisemi hizi ππWalokole, wakatoliki na wasabato wa namanyele watakua upande wa Brazil wazungu wenzao
ππkama utakula maharage hutaiona, utaamka asubuhi
Tamisemi wamekufanyaje lakini?Akili za watumishi wa Tamisemi hizi ππ
Jana ulikua tel aviv au ulisherekea hapohapo geto kwenu na mwenza wako Yodasasa we kobazi mweusi hukuona shobo za morocco, au kwa sababu ni kobazi wenzako umeamua kujitoa ufahamu?
Wanatabia ya kuvaa viatu vimelika upande mmoja, majungu kibao kila kukikcha.Tamisemi wamekufanyaje lakini?
Sawa mtumishi wa serikal mweny mshahara mkubwaAkili za watumishi wa Tamisemi hizi ππ
Hakuna alietoboa kwa kuajiriwa, unaonekana ushamba wa kijijini hauja kutoka badoWanatabia ya kuvaa viatu vimelika upande mmoja, majungu kibao kila kukikcha.
90% kutoboa kwenye life huwa ni ngumu. Kwa sababu hawajielewi.
Iyo sahau kabsa now Morocco wameisha vibaya mnoWachora piko watakandamizwa vby sana
Mimi nipo bush bush huku nakomaa na kilimo.Sawa mtumishi wa serikal mweny mshahara mkubwa
Waarabu wamewakosea nini? Acheni chuki bwana! Basi shabikia marekani na israelWewe watakie ushindi Morocco.ila wakishinda wao wanasema ni ushindi wao na waarabu wenzao Kwa wewe unajipendekeza.jifunze kubalance shobo
sina timu hapa ila naiona game kuwa ni nzuri sana.
Unasahau mapema.Waarabu wamewakosea nini? Acheni chuki bwana! Basi shabikia marekani na israel
Walisema ushindi wao kwaajili ya waarabu na waislamuKwanini..? Haha