Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Na hakuna kitu watafanya[emoji1491]
 
Baleke inaelekea hajaingia katika mfumo wa Kocha ,anachezea mbao ndefu tu.
 
Gamondi sio Robertinho au Benchikha, haogopi mchezaji. Kampanga Chama leo kwavile kaona anakutana na mpinzani wa namna gani na atamfanyia sub muda wowote atakayeamua yeye kocha sio atakaomua Chama
Niamini Mimi Gamondi kashaingia kwenye mfumo wa Chama. Lakini kwa uchezaji huu mkikutana na Waarabu mtakuwa matatani labda kama MTA improve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…