vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Gamondi sio Robertinho au Benchikha, haogopi mchezaji. Kampanga Chama leo kwavile kaona anakutana na mpinzani wa namna gani na atamfanyia sub muda wowote atakayeamua yeye kocha sio atakaomua ChamaChama anaogopwa na Gamondi