Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Kila la kheri chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara [emoji41][emoji41][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169] baaaadae ushindi lazima Cc ephen_
CC Bantu Lady Nifah Carleen
Can't wait
 
Yanga huwa wanahonga cuf ili watafutie vitimu vilivyoadhirika au vilivyopo kwenye vita ili wajipigie.duh ila kuna mwisho wa janja janja
Usilolijua, Usiliseme kwa sauti utaaibika Kaka.

Yanga kwasasa imekua na point nyingi.

Ndio maana mechi zake zote za mtoano anaanzia ugenini. likewise kwa Simba, Al ahly, Mamelod n.k

Hii michuano ya Afrika kuna timu zinaingizwa kama underdog official kabisa.
Mfano Azam, Gor mahia, Vital'O n.k mpaka zijipate kwanza.

Hata Yanga misimu iliyopita alikuwa ilikuwa hivyo hivyo
 
Wallah Yanga watafungwa Tu ila kwakua wanawakilisha Taifa basi nawatakia kila la heri Watani zangu, mpigeni Jamaa hata vitatu Ndio standard. Kila la heri Yanga kila la Heri Tanzania

Tuambieni mapema kama Vital O ni wabovu
Ubovu wa Vital'O utaonekana ikiwa Yanga itashinda , ubora wa Vital'O utaonekana ikiwa Yanga itafungwa .. 😁
 
Back
Top Bottom