Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Kila la kheri chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara [emoji41][emoji41][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169] baaaadae ushindi lazima Cc ephen_
CC Bantu Lady Nifah Carleen
Pamoja sana
 
Yanga wakihonga CUF, nyie nendeni mkahonge TLP
Walisema yanga wanacheza na vibonde lakini kwenye ngao ya jamii baada kupata kipigo wamekuja na sababu kwamba wanajenga timu baada ya kocha kuwambia wasipo sajili mshambuliaji mwingine asilaumiwe nasikia wamesajili, tusubiri watasema tu
 
Walisema yanga wanacheza na vibonde kwenye ngao ya jamii baada kupata kipigo wamekuja na sababu kwamba wanajenga timu baada ya kocha kuwambia wasipo sajili mshambuliaji mwingine asilaumie nasikia wamesajili, tusubiri watasema tu
Unazungumza juu ya akina nani?
 
Tumia akili Mnemba, hahahaa

"Akili mnemba" is a phrase in Swahili that can be translated to "sharp mind" or "intelligent mind." It is often used to describe someone who is smart, quick-witted, or insightful. It can be a compliment or a way of recognizing someone's mental sharpness.
 
To think out side the box or social inference
 
Back
Top Bottom