Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hoja baadae watakoma hao waburundiMtaenda kuzibulishwa mitalo huko mabibo shauri yeno Vitalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja baadae watakoma hao waburundiMtaenda kuzibulishwa mitalo huko mabibo shauri yeno Vitalo
Additional amaTo think out side the box or social inference
Kumbukeni IhefuLeo tunawapiga na kitu kizito sana
😂😁😁😁 Sio yake ile ya HQ paleUsikute hata ni id ya uran 😹😹😹
Hapana, mbumbumbu ni mashabiki wa thimbaaaaa! By Hon. Aden Ismail RageNdio Utopolo?
siombei mtu bila kupokea sadaka kwa kweli hahahahahaaHongera sana Mtumishi, natumaini umetuombea na Sisi wakosefu..!!
Siku nyingine ya kufurahi 💚💚
Kabisa nilikuwepo siku ilee ila nilishangaa jamaa alipanda kwa juu 😂😁Cookie alimkataa! 😀
au ndio yeye nini 🤣🤣.
Huyo mwamba huwa ananifurahisha sana.
Siku moja nilijua ni mtu wa kitengo HQ alikuja akakuta watu tusharuka na Simba yetu.
Alichofanya akazichabanga post zetu.🤣🤣🤣
Safi sanaBado saa chache tu.
Niko njiani sasa kuelekea Chamazi