Mambo ya kawaida hayo ,huwa mjisahau sanaπππWazee wa kufufua Wafu!!
Kaka 4 nyingi sanaHakuna kitu hapa
Ntumie basi muamala nmeona umempiga muhindi πΉ
Simba hapo ndio alifika fainali Cc ephen_
Makolokolo mlishawahi kuwa hadi Manabii mechi za klabu bingwa za Yanga SC, mfano Yanga vs Mamelodi Sundowns 2024 ila mliteseka hadi mkalaani kwanini mlikuwa viherehere kuingilia ugomvi si wenu, kiko wapi sasa?Hapa tunaongelea Klabu bingwa sio mambo ya Ngao ya jamii, mbona hata Man city huwa anafungwa na Brentford katika Ligi la Epl,...ila Man city UEFA unakuta hashikiki.
Sina kihoro mnajisahau sna ,njia mnayopita tulishapita kitambo tunawachora tuπππ
Anajitahidi, yuko vizuri walau hafanyi madudu sana kama msimu uliopita.Unamzungumiaje Mzize ameimprove au bado tumpe muda?
Naunga mkono hoja na Kuna yule mwanetu jike dume ndio alikuwa anasema ooh mamelodi anawapigeni 5 Cc ephen_ Evelyn SaltMakolokolo mlishawahi kuwa hadi Manabii mechi za klabu bingwa za Yanga SC, mfano Yanga vs Mamelodi Sundowns 2024 ila mliteseka hadi mkalaani kwanini mlikuwa viherehere kuingilia ugomvi si wenu, kiko wapi sasa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Makasiriko yanawahusu wazee wa mirembe
Na nyie fikeni shirikisho fainali kuleπ€£πππππ€£ππPunguza hasira kakaπ
Mtoto halali na hela πππ§‘
π€£ππMakasiriko yanawahusu wazee wa mirembe
Kumbe Vitaloo ni manyumbu ?Hii yanga ikicheza na timu dhaifu kama manyumbu
Basi inashinda