Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Attachments

  • Screenshot_20240817-171855~2.jpg
    Screenshot_20240817-171855~2.jpg
    68 KB · Views: 1
Hapa tunaongelea Klabu bingwa sio mambo ya Ngao ya jamii, mbona hata Man city huwa anafungwa na Brentford katika Ligi la Epl,...ila Man city UEFA unakuta hashikiki.
Makolokolo mlishawahi kuwa hadi Manabii mechi za klabu bingwa za Yanga SC, mfano Yanga vs Mamelodi Sundowns 2024 ila mliteseka hadi mkalaani kwanini mlikuwa viherehere kuingilia ugomvi si wenu, kiko wapi sasa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Naunga mkono hoja na Kuna yule mwanetu jike dume ndio alikuwa anasema ooh mamelodi anawapigeni 5 Cc ephen_ Evelyn Salt
 
Back
Top Bottom