Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Coast wanahitaji utulivu kidogo tu yani!!
 
Hizo timu za nchi nyingine hazina mashabiki kabisa au ni umaskini
 
Mimi naongelea mgawanyo mzuri wa rasilimali, wewe unacheka
Hahaaaaaa, kule kwenye looser CUP mama amenipa kazi kuwapa bao la mama ambapo nitakuwa natoa trey moja ya mayai ya kuku kwa kila goli 1 mkuu.

Usiwe na mashaka katika hilo.
 
Mimi YANGA damu
KWAN KLABU BINGWA AFRIKA IMEANZA MBONA SIMBA AL AHLY MAMELOD HAWACHEZI ILA SISI UTOPOLO TUNACHEZA SSHV AU HII NI NDONDO CUPπŸƒπŸƒπŸƒπŸΈπŸΈπŸΈ



UBUNTU BOTHO
Huyo mwingine hachezi club bingwa tafadhali. Usimjumuishe na wakubwa kama Ahly, Mamelodi, Yanga, CRB n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…