MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Nani anataka kupostiwa na huyo shoga??Hampendi kuambiwa ukweli. Timu mpaka Jezi kuchapisha majina Haiwezi!
Ndio maana Micky hawapost kwa ubishi wenu!
Yah huyu jamaa ni mkali mnoo sikuwah mfuatilia ila kwa nimuanavyo na kwa yanga hii, jamaa atatupia sana, makali yake si kitotodube alisemwa ni garasa. kiukweli ni straika mkali sana.
HIi yanga imetufanya tuamini kuwa min -me sio robot kama tulivyokua tunafikir zaman maana siku hzi haishiibku like tuu bali ana comment kwa uchungu mnooo kisa Yanga mpaka unaona kabisa robot haliwez kuwa na hisia za uchungu namna hii!!ππππMambo ya kawaida hayo ,huwa mjisahau sanaπππ
πππHIi yanga imetufanya tuamini kuwa min -me sio robot kama tulivyokua tunafikir zaman maana siku hzi haishiibku like tuu bali ana comment kwa uchungu mnooo kisa Yanga mpaka unaona kabisa robot haliwez kuwa na hisia za uchungu namna hii!!ππππ
Musonda kocha anaweza kumpanga kwenye nafasi zingine kama winga. Na pia tukumbuke kuna mechi 30 za ligi kuu, mechi, mechi 10 za CAF hadi kumaliza makundi. Kuna mechi 5 za federation cup hivyo atatumika tu kwasababu mechi ni nyingi sana mbeleni na kocha atabidi afanye rotationMusonda ndio basi
Ndiyo uzuri wa kuwa na wachezaji wengi ni faida kupumuzisha miili ya wachezajiMusonda kocha anaweza kumpanga kwenye nafasi zingine kama winga. Na pia tukumbuke kuna mechi 30 za ligi kuu, mechi, mechi 10 za CAF hadi kumaliza makundi. Kuna mechi 5 za federation cup hivyo atatumika tu kwasababu mechi ni nyingi sana mbeleni na kocha atabidi afanye rotation
Hii mechi haikua hadhi yenu...hao wenye vitambi hamkupaswa kutoka jasho..
Sasa ndiyo nimejua, kumbe ka Zimbwe Jr ndiyo maana kalitaka kutapika maharage siku ya ngao ya ya jamii! Kwa tizi lazima wajambe!
View: https://x.com/PlanetFutbal/status/1824465289657860377?t=8u2FnpDxeZsu6AdY3HQFNQ&s=19
Mwanetu msimu huu kapania sana wapinzani mjiandae Cc ephen_