ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Subiri nikatafute kijanaMbona rahisi sana kuseti Hilo dishi hapo acha uwoga andaa ngazi na spana hapo mixer mashine ya signal ukishindwa tafuta kijana hapo aliye karibu apande fasta 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri nikatafute kijanaMbona rahisi sana kuseti Hilo dishi hapo acha uwoga andaa ngazi na spana hapo mixer mashine ya signal ukishindwa tafuta kijana hapo aliye karibu apande fasta 😎
Old school AnalysisTimu kubwa hazichekiz wkend hiii.
Hizi mechi ni za Vitimu vidogo vidogo. Tena ni fedhea kwa Shabiki kukaa anasifia na kutoa povu kuhusu vimechi uchwara kama hivi. Halafu kuna watu wakikaa wanaamini Timu yao ni kuuubwa kumbe huko CAF level yake ni dizaini ya KenGold au Pamba.
Naona Gamondi ameingia kwenye mfumo wa Chama😀
Spana unazo ? Fanya fasta game inaanza hiiSubiri nikatafute kijana
Hawa wanachuki ndio maana timu Yao inafanya hovyo sanaAh! Wabongo tunasema sana.
Asipoanza maneno, akianza maneno
Huyo ni ngamia. Ameingiza kichwa tu, subiri nundu😀Ah! Wabongo tunasema sana.
Asipoanza maneno, akianza maneno
Sawa[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] Cc ephen_Huyo ni ngamia. Ameingiza kichwa tu, subiri nundu[emoji3]
Shukrani mkuuSaa 10jioni
HahahaNaona Gamondi ameingia kwenye mfumo wa Chama😀
Wapi Baleke?
TumelazimishwaNaona Gamondi ameingia kwenye mfumo wa Chama😀