Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro leo hakuna ambaye hajavaa chupi kama Fei?Yangaaa 🔥🔥🔥
😂😂😂 haki nmecheka! Wanawapaje nafasi ya kumfikia Diara jamaniina maana wanamfikia?
Kumbe wanaweza kufanya jaribio moja moja, nilidhani ni mkwara wa msemaji wao tu😂😂😂 haki nmecheka! Wanawapaje nafasi ya kumfikia Diara jamani
Yanga hawajui kuchelewesha bao kabisa.......Bom mochwari
🤣🤣🤣🤣 fey mshenzi aliamua kurisk mapmbBro leo hakuna ambaye hajavaa chupi kama Fei?
Muoneni daktariYanga hawajui kuchelewesha bao kabisa.......
Mimi au yanga?Muoneni daktari
akina nani?Tumewakosa kosa.
Haya ndio mnayoyaweza(majungu), kujenga timu aahhh😂Mimi YANGA damu
KWAN KLABU BINGWA AFRIKA IMEANZA MBONA SIMBA AL AHLY MAMELOD HAWACHEZI ILA SISI UTOPOLO TUNACHEZA SSHV AU HII NI NDONDO CUP🏃🏃🏃🐸🐸🐸
UBUNTU BOTHO
Mrundi anashanga shangaa, tayari baooo 😹😹😹 , yanga ni wabad 🔥🔥🔥Hakuna muda wa kureembaaaaa! Mapemaaa tu wanakuchomekaaa 💚💚💛🖤🖤 Hujui Bao la kwanza lina kiherehere weee mwehuu mfyuuu 😁😁💚💛💪
Daima mbeleeeee
Cc Smart911
🐸Mimi au yanga?