Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

VITAL’O wametuheshimu saana…

Na ni kweli wamefanya Training ya kutosha ndio maana walikua wanajiamini…

Wamekaba half spaces zote… wanakaba wakiwa karibu saana hawaachi nafasi za wazi!

Penetration passes za YANGA hazipiti…

2nd half tumuweke PACOME- chama game bado hajaingia kwenye mfumo!

Cc ephen_
 
mlisema anakufa ngapi? 🤣🤣
 
Hampendi kuambiwa ukweli. Timu mpaka Jezi kuchapisha majina Haiwezi!
Ndio maana Micky hawapost kwa ubishi wenu!
Kwani Micky ni nani special mpaka kuipost Yanga ndio iwe jambo kubwa? Yanga ina postiwa na watangazi kibao tu akiwepo Lorenz Kõhler wewe unamzungumzia mtangazaji anbaye hata kwao Ghana hapewi thamani.
Kuhusu kuandika jezi majina sio ishu ya kutokuwa na pesa bali ni maamuzi tu ya timu. Waweze kugharamia safari na malazi na chakula kwa wiki nzima watakazokuwa Dar ndio washindwe kuwa na kuprint tu majina ya jezi? Kuwa na akili za kiutu uzima.
 
Mimi au yanga?
20240802_131306.jpg

Mpotezee kolo huyo
 
Back
Top Bottom