Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Jaribio zuri gani?Kibu denis anakosa goal hapa dakika ya 68 baada ya Simba kufanya jaribio zuri
Hamna kitu kabisaaaHaonyeshi hiyo hadhi ya play maker.
Habibi anamwaga kama kukuSimba wanajituma. Bado sijawakatia tamaa.
Ahoua ni mlevi wa kupindukia hafai kuchezea timu yoyote kubwaHamna kitu kabisaaa
Afanyeje sasa na uwezo umeishia hapo mbele ya bwana wake mwarabu?Ivi huyu kibu ndo tunamlipa mabilioni ya hela kwa wiki ili amalize msimu bila GolI